milton jackson
Member
- Apr 20, 2017
- 32
- 15
Njoo inbox.uje na short CV yakoNina miaka 25 , ninakaa Kahama- Shinyanga.....nipo natafuta kazi ya Maabara (Lab Assistant) nafasi ikipatikana nafanya sehemu yoyote ile.....0765 626 871
....vyeti na licence ninazo....
Nenda Pm Yake kakwambia au huifahamu PM mkuu.Habari kaka? Nilimaliza chuo 2016...nikafanya kazi Kondoa mwaka jana Tyma dispensary...then nikafanya kazi Maabara pekee Chamazi Dar badae nikahamia Dispensary pale Buguruni....
Employment Vacancies at Aga Khan Health Services, Dar es salaam | Deadline: 15th August, 2018 - AjiraLeo TanzaniaNina miaka 25 , ninakaa Kahama- Shinyanga.....nipo natafuta kazi ya Maabara (Lab Assistant) nafasi ikipatikana nafanya sehemu yoyote ile.....0765 626 871
....vyeti na licence ninazo....
Labda mgeni jfNenda Pm Yake kakwambia au huifahamu PM mkuu.
Ingekuwa USAILI ushafeli sasa.
Hivi kweli wewe unashida alafu wewe ndo utafutwe inakuja mkuu unahisi asipokutafuta yeye atapoteza nini maana wenyewe sifa wapo wengi ila je wewe mfano usipomtafuta unapoteza fursa au hili nalo umeshibdwa waza.Huyo anayemtaka PM c ampigie tu? Mbona kaweka number yake, wengine wageni hapa!!
Ahsanteh sana ila issue kutuma kwa email kwangu ni mtihani sana ngoja nitauliza wanaojua
All the beatAhsanteh sana ila issue kutuma kwa email kwangu ni mtihani sana ngoja nitauliza wanaojua