Habar zenu wandugu!
Karibun sana katka hali ya kufahamishana mawili matatu kuhusiana na kuripot chuon na mambo mengine ikiwa wapo miongon mwetu washafika kwenye hii Taasis yetu ya Usafirishaj kujua kinachoendelea bas atujuze
Broo usajili ni tarehe 16 mwezi huu pia chuo kipo vizuri fika 2,,kwani upo kozi gan? mimi nshachukua admision letter
Kuna mwenzenu ali disco hapo mechanical engineering kasome Dogo acha mbwebweAsante kwa kutujuza kwaiyo adimmision letter na registration zitarudishwa na kufanyika siku ya kufungua chuo ama unatakiwa ufanye reg before?
Kuna mwenzenu ali disco hapo mechanical engineering kasome Dogo acha mbwebwe
Hiv kuna dogo kachaguliwa chet pale nit.....registration wanalipa sh ngapi
Asante kwa kutujuza kwaiyo adimmision letter na registration zitarudishwa na kufanyika siku ya kufungua chuo ama unatakiwa ufanye reg before?