lovernel Member Joined Oct 24, 2015 Posts 85 Reaction score 34 Dec 9, 2016 #21 Watu wamebet wameliwa na mhindi sasa wameamua kubet kwenye magar
chindo Senior Member Joined Oct 6, 2013 Posts 166 Reaction score 102 Dec 10, 2016 #22 Jamani mme - elewa tangazo la bwana dalali ? Nissan extra inauzwa bei mil 17 mazungumzo yapo. Inamaana bei inaweza kushuka iwapo mnunuza ataafiki bei yake aliyopanga. We must read between the lines pls msiwaaribie wa2 biashara zao.
Jamani mme - elewa tangazo la bwana dalali ? Nissan extra inauzwa bei mil 17 mazungumzo yapo. Inamaana bei inaweza kushuka iwapo mnunuza ataafiki bei yake aliyopanga. We must read between the lines pls msiwaaribie wa2 biashara zao.
dalloboy JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 314 Reaction score 246 Dec 10, 2016 #23 Jamiix said: Houseboy kaamua kuandika kwa niaba ya tajiri, kaweka cha juu 12m,hiyo ni 5-7m Click to expand... Hahahahah jf kiboko aisee.....et house boy
Jamiix said: Houseboy kaamua kuandika kwa niaba ya tajiri, kaweka cha juu 12m,hiyo ni 5-7m Click to expand... Hahahahah jf kiboko aisee.....et house boy
dalloboy JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 314 Reaction score 246 Dec 10, 2016 #24 lovernel said: Watu wamebet wameliwa na mhindi sasa wameamua kubet kwenye magar Click to expand... Hahahahah nafwaa
lovernel said: Watu wamebet wameliwa na mhindi sasa wameamua kubet kwenye magar Click to expand... Hahahahah nafwaa
dalloboy JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 314 Reaction score 246 Dec 10, 2016 #25 chindo said: Jamani mme - elewa tangazo la bwana dalali ? Nissan extra inauzwa bei mil 17 mazungumzo yapo. Inamaana bei inaweza kushuka iwapo mnunuza ataafiki bei yake aliyopanga. We must read between the lines pls msiwaaribie wa2 biashara zao. Click to expand... Hata kama punguzo lipo ..... Kuanza na bei kubwa kiasi hicho ni kufukuza Wateja pia" ningemwona Wa maana kama angeliona na hilo
chindo said: Jamani mme - elewa tangazo la bwana dalali ? Nissan extra inauzwa bei mil 17 mazungumzo yapo. Inamaana bei inaweza kushuka iwapo mnunuza ataafiki bei yake aliyopanga. We must read between the lines pls msiwaaribie wa2 biashara zao. Click to expand... Hata kama punguzo lipo ..... Kuanza na bei kubwa kiasi hicho ni kufukuza Wateja pia" ningemwona Wa maana kama angeliona na hilo
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,958 Reaction score 3,336 Dec 11, 2016 #26 Hana nia ya kuuza....