Nissani extra inauzwa

Extra kwa maana ya nisan ya ziada au?? Au namba A mil 17 duh
 
Nissan Extra ni toleo la mwaka gani hilo la Nissan?

Halafu mbona imefanana sana na Nissan Extrail?
 
Labda haitumiki toka imesajiliwa.
Bei hiyo huuzi!!!!
Shusha mpaka 7m watu wataku PM
 
Alinunua million 17 miaka 10 iliyopita sasa hivi anataka auze kwa hiyo hiyo million 17 . Bora angenunua kiwanja kama alitaka kuuza kwa faida
 
Huwez uza kwa bei hiyoo...rav4 show room ni mil16 iyo mkononi mil17 labda ukawauzie wakulima wa korosho mtwara mwaka huu wametajirika mno
 
Hiyo ukiagiza mpya mpaka tz ni around mil 15, sasa hiyo imeshatumika tena namba A eti mil 17. Dalali hapo umechemka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…