Wana jamii wenzangu, naomba kuuliza, je naweza pata nissan x-trail (4wdr) kwenye show rooms za bongo iliyo nzuri kwa bei isiyozidi 14m?. Kama ndio naomba maelekezo ni wapi.
Natanguliza shukurani