nissan x-trail inauzwa

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,137
Reaction score
2,267
aina ya gari-nissan xtrail mwaka wa kutengenezwa - 2001 bodi: station wagon rangi: silver mafuta yanayotumika: petroli cc: 1968 mahali ilipo: kigoma/ujiji imesajiliwa, plate number utazipata soon hali ya gari: mpyaaaaaa bei: shilingi za ki-Tanzania milioni 14 tu


kwa mawasiliano, nitafute kwenye 0713-766565
 

Attachments

  • P1630590.JPG
    376.8 KB · Views: 441

...........dah!
 

nishaendesha sana hizi gari...ziko very stable barabarani,zina space kubwa ndani....kifupi nazikubali kuliko RAV4
 
muonekano zaidi
 

Attachments

  • P1630592.JPG
    370.3 KB · Views: 323
muonekano wa ndani gari
 

Attachments

  • P1630591(1).JPG
    510.5 KB · Views: 258
bei imeshushwa sasa ni milioni 14 tu. changamkia kitu hii
 
nishaendesha sana hizi gari...ziko very stable barabarani,zina space kubwa ndani....kifupi nazikubali kuliko RAV4


Tabu ya gari hizi spare ghali then ni ndoa ya kikristo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…