Mkuu unaidhalilisha hii gari,ktk market hiyo ni quoted priceya vitz sa bei serious si unaweza ukauza bei ya bajaji? cku na me yangu nikitaka kuuza si majanga.hayo? semaunataka kias fulani cha mkopo bond iwe hii gari finito.
@MgusiMukulu hili gari vip bado lipo, tangu saa nne usiku jana mpk saiz comments ni 8 tu waliona thread 400 na kitu, hivi hii bei ni sahihi kweli, au hizo za udalali ndo bei halisi mteja atapewa akilipia hiyo 7.5? Naulizia mkuu!