Kuna mzee mmoja aliletewa zawadi na mtoto wake anaishi nje kamletea gari kama hiyo sasa hivi ina miaka 15 mzee hajawahi kuipeleka garage akaipeleka ni kwenda kubadilisha oil na labla na tairi na inafanya kazi za shamba!! Hii gari imetulia sana ingekuwa yangu nauza bila 13Mil siuzi!!
kama unakula mkono niku pm namba.
Kuna mzee mmoja aliletewa zawadi na mtoto wake anaishi nje kamletea gari kama hiyo sasa hivi ina miaka 15 mzee hajawahi kuipeleka garage akaipeleka ni kwenda kubadilisha oil na labla na tairi na inafanya kazi za shamba!! Hii gari imetulia sana ingekuwa yangu nauza bila 13Mil siuzi!!
Mkuu niko serious nakupa 6-6.5.niipeleke moshi niko serious mkuuNISSAN VANETTE INAUZWA..
NI TON 1,TANGIA ITOKE JAPAN HAIJAWAHI KUFANYA KAZI NGUMU...KUBEBA MIZIGO...ENGEN NA GEAR BOX IKO VIZURI SANA...
NI AUTOMATIC TRANSMISSION
BEI YAKE NI 9.5 MLN...KWA WALE SERIOUS BUYERS WANIPIGI..
VIBALI VYOTE VIKO SAWA HAIDAIWI..
Multiple IDs at workKuna mzee mmoja aliletewa zawadi na mtoto wake anaishi nje kamletea gari kama hiyo sasa hivi ina miaka 15 mzee hajawahi kuipeleka garage akaipeleka ni kwenda kubadilisha oil na labla na tairi na inafanya kazi za shamba!! Hii gari imetulia sana ingekuwa yangu nauza bila 13Mil siuzi!!
Hii gar bado IPO au ishauzwa tayariHUWEZI PATA KWA BEI HIYO MKUU PANDAA