nissan sio imara na body yake pia haipendi barabara mbovu itawai kuchoka,nenda kwenye polo mkuu,gari ngumu imara na ni nzito ukiwa high way,pia nying ni speed 240 na sijui kama utazimaliza kwa tochi za sasa,haiyumbi ovyo,pia mafuta inatumia kidogo 14/ltr,inategemea na uwendeshaji wako.