Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 5,489
- 8,628
Huna dhati yooyote sema unataka kujipatia fedha kwa wizi na udanganyifu nenda kafundishe chemistry ndo unatakiwa hukoAhsante sana kwa ushauri wako mzuri mkuu, nitaufanyia kazi. I'm a Genius indeed.Pia nina nia ya dhati ya kutimiza hili lengo.
Mkuu biology,Chemistry atafanyia nini ?Hapa bongo anaweza kuanziasha utafiti wa parfume ambazo hazijagunduliwa.Hebu mshauri aitumieje maana kufundisha tu haiwezi mletea pesa zaidi ya kujikimu.Wachana na kusomasoma Kama zezeta fanyia kazi iyo fani uliyo nayo kijana utakuja kujutia muda.
Mkuu unataka aendelee kuwa masikini? Akiendelea kufundisha anazeeka na umasikini.Duuh
Anatakiwa ajitafute mwenyewe. Kama kuna hicho kitu ndani yake. Wengi wamekuwa inspired kuwa hacker kwa story mbili tatu.. ila ndani yao unakuta hamna hiyo spiritSina maana ya kuingia darasani, ninamaanisha topics au fields. Ajue kuna programming, networking, hardware, nk
Akishajipata inakuwa rahisi kumsaidia. Au kumpa muongoza. Ila angekuwa akishajua kama yeye ni mtu wa reverse engineer.. unajia njia sasa za kumpa apitieSina maana ya kuingia darasani, ninamaanisha topics au fields. Ajue kuna programming, networking, hardware, nk
Anza kujifunza html na css then jabascript ukimaliza hapo piga python!!Point noted. Kwahiyo kozi ipi unashauri nianze nayo kwa haya malengo yangu?
Acha kudanganya...me nazan ni Bora ukae kimya Kama huna ufahamu na Jambo fulani...Umekuja kasi sana, ok hacking anayoitaka huwezi somea popote na haina degree wa diploma. Ni passion tu msimdanganye kwenda darasani.
Kuna kampuni unawalipa kukufanyia pentsting na sio illigal na ni biashara kabisaaa.Yeye anataka hacking
Unaijua Linux? Particularly Kali Linux?Habarini wakuu. Mimi ni kijana "age below 35". Napenda sana siku zijazo nije kuwa miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kuamrisha internet kufanya kile ninachotaka. Hizi 'Search engines' zote kuanzia google hadi yahoo nizikosoe kwa namna moja ama nyingine. Hizi facebook, whatsap, instagram, tweeter etc nizivuruge kwa kuongeza vitu unique au nizikosoe kwa namna moja ama nyingine. Nisome course ipi ili nifanye hayo yote?.
NB: Mimi ni msomi wa kawaida tu (First degree holder).Bachelor of science with education "Chemistry+Biology".
Natanguliza shukrani.
Hatukati tamaaSidhani kama ni "Too late".Hakuna kuchelewa wala kuwahi katika maisha kama una nia ya dhati ya kutimiza lengo husika.Kuna watu walitimiza malengo yao wakiwa na above 70 years old.
Asante mkuu umetoa msaada bill kukosoaKabla hatujafika kwenye PL kwanza tuangalie skill na experience ambazo unabidi uwe nazo ili uwezu ku advance kenye Hacking
- VM (Virtual machine)
- Jinsi ya kutumia VM , Virtual machine kwa wepesi inkupa njia ya kutumia OS nyingine kwenye machine yako , OS inayotumia VM inaitwa guest OS na most ina be manage na kitu kinaitwa hypervisor, mfano mm natumia windows 10 as HOST OS lakini natumia VM ku acess OS nyingine kama guest OS kwa hiyo nikitumia Kali linux kwenye VM inakua guest Os
- guest os mara nyingi tunatumia ku slinging exploits, ku fungua suspect file, mfano mtu ame attach pdf hapa jf, hiyo pdf inaweza kuwa na metadata au keyloggers amabo zinakaharibu mfumo mziwa wa HOST os yako ukapata hasara or kupata identity yako, pia kutumia aina tofauti tofauti ya OS inangeza uwezo wako
- Computer network
- Ili uweze kuwa hacker lazima uwe na skills ya networking lazima ujue njisi gani divice zina interact napia how data transferred kutoka point moja kwneda point nyingine
- Ukiwa na hii skills utaweza ku solve matatizo mengi ya device na kutengeneza zako na pia utakuwa vizuri kwenya mambo kama ya troubleshooting, hapa jifunze vitu kama TCP na IP etc
- System administrations
- Hapa cheza na mambo ya configurations na maintenance, jaribu ku delete ma file kwenye pc yako alafu jaribu ku fanya recovery, download viruses kwenye VM yako alafu angalia namna zinavyofanya kazi
- Command line
- Kwenya hacker bro hanana ku click icon kila kitu ni kuandika , command line inakupa access yak u control compute yako in kernel , hapa jifunze language kama BASH hii inakuja na karibia kwenye OS zote za Linux, jua njisi ya ku control pc kwa kutumia command line
Programming languages
Python
javascript
- Program nyingi na scripts unaweza uka penetrate kwa kutumia python, kama ndio unaanza uaweza anza hii, python unaweza uka write your own program za kuscan network, Hapa jf kuja jamaa aliweka picha alilkua anaweza kupata verification code za sportpesa za ku reset password , alitumia python
Hii nayo ni useful japo sasa ivi inapata changomto kwenye hacking kwa sababu ya web framework nyingi zinakuja na security ya XSS (cross-site scripting) lakini mojala language inaweza kutumia kwenyehacking ni hii, website nyingi zintumia js unaweza hack kwa kutumia js, lakini pia js inatumia pia upande server side hii inatupa hackers upenyo we wa ku hack
C
Hii ni low level language pia ni backbone ya language nyingi na OS, hii inatumika kwenye software na embedded system development pia inatumika ku handle low-level infrastructure kama RAM an processors a hacker dream to exploit
pia unapoendelea kujuifunza utakutana na language kama PHP na SQL, download spider IDE iweke darkmode anza kazi
Jaribu kupitia vitabu hivi
1. C in a nutshell
2. Practical cryptography in python: learning correct cryptography by example
3. automate the boring stuff with python
4. eloquent javascript
Vip coz inaendeleaje?Duuh
"Jaribu" kwa kuanza na computer science.Ni pana mno ila ni mwanzo mzuri.Habarini wakuu. Mimi ni kijana "age below 35". Napenda sana siku zijazo nije kuwa miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kuamrisha internet kufanya kile ninachotaka. Hizi 'Search engines' zote kuanzia google hadi yahoo nizikosoe kwa namna moja ama nyingine. Hizi facebook, whatsap, instagram, tweeter etc nizivuruge kwa kuongeza vitu unique au nizikosoe kwa namna moja ama nyingine. Nisome course ipi ili nifanye hayo yote?.
NB: Mimi ni msomi wa kawaida tu (First degree holder).Bachelor of science with education "Chemistry+Biology".
Natanguliza shukrani.