Habari wana jamii forums
Kuna mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka jana na amepata alama zifuatazo
GEOGRAPHY D
BIOLOGY F
ENGLISH D
MATHS F
CIVICS C
KISWAHILI B
HISTORY F
Sasa tulikuwa tuna mpango wa kumpeleka chuo,sasa kwa ufaulu huo anaweza akasomea nini ambacho kinaendana na ufaulu wake wa hayo masomo
Nitashukuru nikipata ushauri kutoka kwenu