Niseme ya moyoni leo.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,784
Reaction score
31,298
Nisiwachoshe,ipo hivi,
Siku za hivi karibuni wameibuka watu ndugu na jamaa kuniomba sana fedha wakidai wana shida sana sana.
Kuwasaidia sio kesi kwani maisha ni kusaidiana.Sasa kinachoniuma Nikikumbuka nilivyokuwa nawashawishi waikatae ccm 2015 walinidharau na kunibeza sn.
Moyo uliniuma kwanini hawakuunga mkono pamoja na kutokuwepo kwa tume huru wangeambatana tu na watanzania wengine ili kufanya mabadiliko.

Sasa hali ni NGUMU ZAIDI KIMAISHA,na mwelekeo ni hovyo kabisa hakuna matumaini.
Nilichoamua;
Ukiondoa kuwa uwezo wangu bado upo chini,na wanapagawa na mimi kuvuka tumipaka na kurudi Tz wakidhani nipo njema,nimeamua kutompa mtu hata 100 hata afe hapo.

Sababu ni hiyo hapo juu.Acha tujifunze kwa makosa-wahenga walisema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi mi Magu kanifurahisha sana, mwaka 2015 nilipiga sana campain watu wasimchague, yaani wasiipe kura Fisiem, majinga fulani yalikuwa huyaambii kitu juu ya CCM, na katika zoezi hili la vyeti feki, majamaa ambayo yalikuwa makada maarufu yakatumbuliwa vibaya, afu ni mengi sana. Hivyo nimefurahi kwa kuwa wamelikata gogo walilokuwa wamekalia.
 
hata wengi wanaonikopa ni wale walompigia debe uncle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…