S sugi JF-Expert Member Feb 12, 2011 1,392 293 Oct 10, 2011 #1 Nafanya installation ya window 7 kwenye laptop dell n4050,inachukua muda mrefu saaana,yaani hapa nshamaliza masaa 7,na bado inaendelea tu,hdd 500,ram 4,speed 2.3ghz,nifanyeje wakubwa?
Nafanya installation ya window 7 kwenye laptop dell n4050,inachukua muda mrefu saaana,yaani hapa nshamaliza masaa 7,na bado inaendelea tu,hdd 500,ram 4,speed 2.3ghz,nifanyeje wakubwa?
KANCHI JF-Expert Member Sep 3, 2011 1,533 230 Oct 10, 2011 #2 M2 wangu window 7 huwa ni kubwa sana kwa hiyo may be your computer have no enough space.
S Sumu JF-Expert Member Nov 5, 2010 6,958 6,076 Oct 11, 2011 #3 Unatumia disk au usb kuinstall? Kama ni disc obviously hiyo disc itakuwa ni mbovu. Jaribu kutumia disc nyingine.
Unatumia disk au usb kuinstall? Kama ni disc obviously hiyo disc itakuwa ni mbovu. Jaribu kutumia disc nyingine.
Kang JF-Expert Member Jun 24, 2008 5,495 2,252 Oct 11, 2011 #4 Haizidi saa moja installation, una uhakika inaendela bado? Itakuwa imegoma zamani, reset PC anza upya.
Haizidi saa moja installation, una uhakika inaendela bado? Itakuwa imegoma zamani, reset PC anza upya.
Brakelyn JF-Expert Member Oct 6, 2009 1,181 517 Oct 11, 2011 #5 ina Windows gani hapo ilipo? kama ina windows 7 yeyote na unafanya Upgrade ya windows 7 basi hautafanikiwa, na pia cheki hiyo CD isiwe ina scratches sana...........:A S embarassed::A S embarassed:
ina Windows gani hapo ilipo? kama ina windows 7 yeyote na unafanya Upgrade ya windows 7 basi hautafanikiwa, na pia cheki hiyo CD isiwe ina scratches sana...........:A S embarassed::A S embarassed: