Heshima kwenu nyooote, jaman mi nimeajiriwa serikalini mwez wa 3 mwaka huu kuja kituro mbeya, kusema ukwel hali ya hewa ya huku imenishnda, nataman nihamie kituo cha kuzalisha mbegu (sperm) pale NIC ARUSHA, ila cjui nianzeje! plz nisaidien procedures