nisaidieni jamani

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
habari wana jf na wale arsenal wenzangu poleni tumefungwa ila tumecheza mpira mzuri sana. yaani tangu ilipoisha game ya jana sina raha kwa mashabiki wa man u. hata kazi hazifanyiki vizuri. dah yaani imekuashida kweli....wamenivaliza mpaka jezi lao...vipi na nyinyi huko mliko amani mnapata?
 
Amani tunapata kwanini tusiipate wakati mtu kanyonyolewa jana. Na jirani yetu aliyefungwa na Sunderland najua mechi inayofuatia hatawaachia Arsenal
 
Na bado christmas hiyo inasogea.wenye ligi yao wanafungua kucha sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…