Nakubaliana na maswali(critical) ya Tized,
Sio kila mtu unayebadilisha nae njia za mawasiliano(namba za simu, barua pepe n.k) lazima ufanye ulichofanya. Lengo lako kwake ni nini?..mfano, kwanini usiheshimu uamuzi wake kuwa ana mtu??..sawa inaweza kuwa ni kweli hana mtu na ni sababu tu za kukuepuka lakini iwapo hata mtu na anafanya anachofanya(kukukimbia/kukuepuka) unadhani anafanya jambo baya??..yaani umekutana naye december (obviously ni late december kwani atakuwa anajiandaa na mitihani)..na sasa ni January(tayari alikwisha rudi shule)..hata kama kuonana/kufahamiana zaidi mlifahamianaje? muda gani?..kumbuka hapa ninaongelea PHYSICALLY!!
Ni vigumu sana msichana(MWENYE AKILI ZAKE) kukuelewa ikiwa ndani tu ya mwezi mmoja kufanya yote haya!!Tulia, kuwa mvumilivu kijana otherwise ndiyo utakuwa/uko katika lile kundi lisemwalo kila leo "vijana wetu wa vyuo, vijana wetu wa vyuo"
Pole mwanachuo. kwa hiyo uko dillema sio? kati ya kuendelea na kutoendelea, So ushauriwe nini? ili nini? na matokeo ya hiyo nini ni nini? hadi uwe njia panda kiasi hicho? Na kama ameshakuambia ana mtu hadi na simu akawa hapokei huoni umekuwa kero mwanchuo? na umemtongoza kwa sababu alikupa namba ya simu na mkaanza kuchat au una lengo la maana?
Mimi ni kijana wa miaka 24 mwezi wa December kuna msichana nilikutana naye wakati natoka morogoro kuja Dar es salaam katika basi ,nikapiga naye stori mwisho wa siku tukabadilishana namba za simu tukaendelea kuchat kama kawaida katika basi baada ya Siku kuu kuisha nikarudi zangu chuo Sua morogoro basi siku moja nikamtongoza yule demu katika simu kiswahili kikawa kingi mara aseme yuko single mara aseme yuko na mtu wake na simu akawa hapokei basi nikaamua kumpotezea maana yuko form 6 mwezi ujao anafanya mtiani na kwenye simu apatikani maana yuko boarding .Niko njia panda je akimaliza form 6 niendelee kumfuatilia au nimpotezee huyo mrembo
Kama mwanafunzi wa SUA anauliza maswali ya kipuuzi namna hii, sisi tulioishia "fom foo" tumweleweje?
mimi ni kijana wa miaka 24 mwezi wa december kuna msichana nilikutana naye wakati natoka morogoro kuja dar es salaam katika basi ,nikapiga naye stori mwisho wa siku tukabadilishana namba za simu tukaendelea kuchat kama kawaida katika basi baada ya siku kuu kuisha nikarudi zangu chuo sua morogoro basi siku moja nikamtongoza yule demu katika simu kiswahili kikawa kingi mara aseme yuko single mara aseme yuko na mtu wake na simu akawa hapokei basi nikaamua kumpotezea maana yuko form 6 mwezi ujao anafanya mtiani na kwenye simu apatikani maana yuko boarding .niko njia panda je akimaliza form 6 niendelee kumfuatilia au nimpotezee huyo mrembo
Kama mwanafunzi wa SUA anauliza maswali ya kipuuzi namna hii, sisi tulioishia "fom foo" tumweleweje?
ndo wasomi hao