Mkazo:weka picha yake hapa alafu tutakushauri.
Ushauri nilioomba sivyo ulivyojibu hayo mambo vipimo vipo hayana tatizo siku hizo akuna kuaminiana katka suala la AfyaPata taarifa sahihi mkuu.
Unadhani wewe ndie una macho peke yako?
Unaweza date mwanafunzi asiyetaka shule ukala msala.
Afya. Waathirika wengine wapo vizuri. We toa posa harakaharaka. Lipo jambo lililofichika. Take time.chunguza. au ana mimba changa?
Maswali ni mengi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuweka PM ya kwanguMkazo:
WEKA PICHA YAKO NA PICHA YA DEMU TULINGANISHE
Duuh mi ntajuaje kama amekukubaliNgoja nivute subira ila je kwa marendo haya ameshanikubali
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya