Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Total tsh 292000 (107$).Habarini wakuu.
Nimekua nikipitia changamoto ya magonjwa kwa takribani sku kadhaa lkn nipende kuwahakikishia wana JF kua nmepona na vipele vimetoka sipat maumivu mda wa kukojoa na leo ndo natoka kweny mihangaiko sasahivi. Nawashauri mimi nimetumia gharama kubwa sana tangu niugue kama ifuatavyo:
1. Dinner na pisi- 40,000
2. Bolt to home-5000
3. Bolt from ghetto to her home na ya kigentle baad ya kumla-15,000
4. Kupima na dawa siku ya kwanza-32,000
5. Siku nilizojiuguza ambazo sijaenda kazini ni 3- 75,000
6. Nmepoteza dili la nje la 110,000
7. Dawa ya fungus na after shave- 15,000
8. Mahusiano na Mungu baad ya dhambi- can't be quantified.
Wakuu hizo gharama kama nisingezini nisingeingia hzo gharama zote. Vijana tunashindwa kuendelea ngono kimojawapo pamoja na sababu nyinginezo. Nitoe rai kwa watu wote tuvae condom au tuache dhamb ya uzinzi.
daah bado kijana nahemahema tu hapa nakula ugaliTotal tsh 292000 (107$).
daah we unataka nn lkn yaan furaha yako niseme bado naumwa?NASEMA TENA,tusubiri.
Madaktari wetu hapa wasiojua magonjwa,tujipe muda.
Mkuu mimi nakuhurumia.daah we unataka nn lkn yaan furaha yako niseme bado naumwa?
Ahsante kwa Nia njema ntaenda kupimaMkuu mimi nakuhurumia.
Ndio maana kwa nia njema nimekupa hadi kipimo ukapime,unajua nini,una ubishi mwingi sana.
Naomba niishie hapa,hayo ni naisha yako mkuu.
ntaenda kupima kipimo hicho alichoniambia. Ahsante sanaHaya mkuu🥲🥲🥲🥲.
IMAGINE ENEO LA MAVUZI LINAJAA VIPELE NA NJIA YA MKOJO INABANA UKIKOJOA MAUMIVU.
HALAFU UNAFIKA HOSPITALI UNAAMBIWA HIYO NI UTI.
DAH.
keep away from the childrenHatari sana
AahHilo dili ya nnje la 110,000 ni dollars au kwa pesa za madafu mkuu?
Ni ugonjwa Gani huo mkuu?Mkuu mimi nakuhurumia.
Ndio maana kwa nia njema nimekupa hadi kipimo ukapime,unajua nini,una ubishi mwingi sana.
Naomba niishie hapa,hayo ni naisha yako mkuu.
Safari hii hicho kidude kinakatika inabaki shina tuNikikupata Anna naahid kuacha kabsa
Ushauri mzuri.tulio wahi kutana na hali hiyo tunakuelewa watoto wa 2000 hawato kuelewaHabarini wakuu.
Nimekua nikipitia changamoto ya magonjwa kwa takribani sku kadhaa lkn nipende kuwahakikishia wana JF kua nmepona na vipele vimetoka sipat maumivu mda wa kukojoa na leo ndo natoka kweny mihangaiko sasahivi. Nawashauri mimi nimetumia gharama kubwa sana tangu niugue kama ifuatavyo:
1. Dinner na pisi- 40,000
2. Bolt to home-5000
3. Bolt from ghetto to her home na ya kigentle baad ya kumla-15,000
4. Kupima na dawa siku ya kwanza-32,000
5. Siku nilizojiuguza ambazo sijaenda kazini ni 3- 75,000
6. Nmepoteza dili la nje la 110,000
7. Dawa ya fungus na after shave- 15,000
8. Mahusiano na Mungu baad ya dhambi- can't be quantified.
Wakuu hizo gharama kama nisingezini nisingeingia hzo gharama zote. Vijana tunashindwa kuendelea ngono kimojawapo pamoja na sababu nyinginezo. Nitoe rai kwa watu wote tuvae condom au tuache dhamb ya uzinzi.
Usiache matunda, mbogamboga na maji mengi.....daah bado kijana nahemahema tu hapa nakula ugali
Vaeni hata mkipiga stori naoNitoe rai kwa watu wote tuvae condom au tuache dhamb ya uzinzi.
mtu kama ww unakuta hata mchongo wa kulala na tsh elfu 10 kama faida huna, ila sasa ukija jf anakoment mashudu kama haya tumuone na yeye yumo.Hilo dili ya nnje la 110,000 ni dollars au kwa pesa za madafu mkuu?
Sawa,upo sahihi kabisa.mtu kama ww unakuta hata mchongo wa kulala na tsh elfu 10 kama faida huna, ila sasa ukija jf anakoment mashudu kama haya tumuone na yeye yumo.