Kwa iyo iyo antenna yako chomeka kwenye tv search utaipata hope na nyengine nyingihabari wadau,
mimi ninamiliki dikoda ya startimes (antena) inayoshika local zote bila malipo kama TBC1, ITV, STAR TV ,CLOUDS TV, ETV, EATV,CHANNEL 10, DIRA TV, SAFARI TV, UPENDO NA LIVING WATER TV. sasa sikiitaji tena nataka unipe kontinental nikiwa nalenga channel inayoitwa Hope Channel tv ambayo haipatikani kwenye STARTIMES. nafanyahivyo sababu ninavyo DStv na STARTIMES kwahio staki kuwa na dekoda nying kwa runinga moja, mwenye nayo anistue asee
Uko wapi njoo uchukue niko victoria dar es salaamhabari wadau,
mimi ninamiliki dikoda ya startimes (antena) inayoshika local zote bila malipo kama TBC1, ITV, STAR TV ,CLOUDS TV, ETV, EATV,CHANNEL 10, DIRA TV, SAFARI TV, UPENDO NA LIVING WATER TV. sasa sikiitaji tena nataka unipe kontinental nikiwa nalenga channel inayoitwa Hope Channel tv ambayo haipatikani kwenye STARTIMES. nafanyahivyo sababu ninavyo DStv na STARTIMES kwahio staki kuwa na dekoda nying kwa runinga moja, mwenye nayo anistue asee
yapWw ni msabato??
Siyakukothamela Sonini na nini
ok staki ela nataka kontinental
Uko wapi njoo uchukue niko victoria dar es salaam
nipo dar, mitaa ya chang'ombe nitext no yko pm
nmekutumia no pmNinayo nicheck
mimi sijui au sijaipata bado, nielekeze tafadhariKwa iyo iyo antenna yako chomeka kwenye tv search utaipata hope na nyengine nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanel zake zipi nzuri mdau?Yaaaah. Wasabato na wasukuma ndio decoder yao io
Siyakukothamela Sonini na nini
Hapana bro,kwanini wauliza hivyo?Na ww ni msabato??
Siyakukothamela Sonini na nini
Ting na continental kwa local na ubora wa picha na yenye radio ipi bora nataka ninunue msaada broNa ww ni msabato??
Siyakukothamela Sonini na nini
Ting na continental kwa local na ubora wa picha na yenye radio ipi bora nataka ninunue msaada bro
Sent using Jamii Forums mobile app
ok, asnteYaaaah. Wasabato na wasukuma ndio decoder yao io
Siyakukothamela Sonini na nini
kontinental inayo HDMI Ting sijuiTafuta kingamuzi chenye HDMI ndio kina ubora wa picha. Unaqeza chukua chochote kwa mapenzi yako
Siyakukothamela Sonini na nini
kontinental inayo HDMI Ting sijui