Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,011
- 5,687
Hey, happy holidayutakua unaikubali dini ya kiislamu in real life.lol mambo unayoota mengine yako kwenye subconscious ,ni mambo unayofikiria kila siku yanajitokeza kwenye ndoto,au umeona kitu cha kiislamu recently kikakumbusha jinsi unavyoikubali hio dini ndio maana ukaota,hapa nachukua nafasi ya mshana jr lol
Hey, happy holiday
Vema.Sasa,umwambie awe analala na Kanera apige picha vitu ndotoni.Sababu vitu vingi hakumbuki.Hio NDIO DINI YA HAKI
ALLAH. AKBAR[emoji1317]
Iyo damu ya yesu inauzwa Wapi, nataka lita tanoKemea Hyo Ndoto Kwa Jina La Yesu Mala Unapolala Jiwekee Ulinzi Wa Dam Ya Yesu Takasa Lango Lako La Ndoto Isiingie Ndoto Ambayo C Mapenz Ya Mungu ,,, Wale Wana Majini Et Wanasema Mazur,be Care
Amina nitafanya hvyo!Kemea Hyo Ndoto Kwa Jina La Yesu Mala Unapolala Jiwekee Ulinzi Wa Dam Ya Yesu Takasa Lango Lako La Ndoto Isiingie Ndoto Ambayo C Mapenz Ya Mungu ,,, Wale Wana Majini Et Wanasema Mazur,be Care
Fanya maombi ya kuikataa hiyo roho, mapepo sio mazuri, pia mshirikishe kiongozi wako wa kanisa akusaidie, kwa kuwa ndiye anayekujua maisha yako halisi, Mungu na akuepushe na hiyo roho