Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 609
- 1,007
Si umeambiwa ni biashara mkuu?Ni hilo tu au kuna lingine?
Mbona nyuma hapo watu hawakuwa na hii morali?
Hii nguvu imetoka wapi?
Sehemu ya status inatumika kwa mambo mengi tu kuweka habari mbalimbali za kuburudisha, kuelimisha pamoja matangazo ya biashara.Ni hilo tu au kuna lingine?
Hawakujua kama kwenye status unaweza kutangaza biasharaMbona nyuma hapo watu hawakuwa na hii morali?
Hii nguvu imetoka wapi?
kaka naona umemaliza kila kitu,big up sn na ubarikiweSehemu ya status inatumika kwa mambo mengi tu kuweka habari mbalimbali za kuburudisha, kuelimisha pamoja matangazo ya biashara.Hawakujua kama kwenye status unaweza kutangaza biashara
Baada ya kujua umuhimu wa status kwenye kutangaza biashara
Mm mtu akinitumia hiyo najua anataka kuniibia na mlock ,kumbe si vijana wa kitapeli?Wana vimichezo vyao vinaitwa mula empire sijui....kupata hela online. Anapata kulingana na watu aliowashawishi.
Wengine ni wafanya biashara, wanatangaza biashara zao.
daaa kaka vip hio mula empire inakuwaje aiseee,mana kama ni biashara mi najua status zilikuwepo mda sn na hakukuwa na lolote lkn nilijua kuna cha ziada katika hizo statusWana vimichezo vyao vinaitwa mula empire sijui....kupata hela online. Anapata kulingana na watu aliowashawishi.
Wengine ni wafanya biashara, wanatangaza biashara zao.
daaa kaka vip hio mula empire inakuwaje aiseee,mana kama ni biashara mi najua status zilikuwepo mda sn na hakukuwa na lolote lkn nilijua kuna cha ziada katika hizo status
Hebu tufatilie zaid tujue nn kinajili mana naona wengi wanaongelea zaid biashara lkn ww kuna kitu umegusa cha muhim ambacho nadhan hata mm nilikua nakifikiri
Mkuu mimi mwenyewe mbali na kuviskia sijavifuatilia sana.daaa kaka vip hio mula empire inakuwaje aiseee,mana kama ni biashara mi najua status zilikuwepo mda sn na hakukuwa na lolote lkn nilijua kuna cha ziada katika hizo status
Hebu tufatilie zaid tujue nn kinajili mana naona wengi wanaongelea zaid biashara lkn ww kuna kitu umegusa cha muhim ambacho nadhan hata mm nilikua nakifikiri
poa kakaMkuu mimi mwenyewe mbali na kuviskia sijavifuatilia sana.
Nadhani ungetumia google.