Kama ushawah kuogelea maji yanachapa yaani ni bora ucharazwe na bakora mia sio maji yakuchape.....binafsi ningewaua..huwez kuwa katil kiasi hicho kwa watoto...
Baada ya kuambiwa Mila zetu ni za kishenzi nasi tukakubali kuziacha hapo ndipo ambapo tulianza kuwa washenzi wa kuruka mambo yasiyo yetu na kuyachukulia kwa uzito mkubwa sana