WiseJoseverest huwa haendeshwi na jf.Huwa anaamua kupotea,then anarudi
hahaamtu poa sana yule jamaa, ukimvaa hapaniki anakujibu kistaarabu
japo comment zake huwa hazina chaji
Kanipa like muda si mrefu kwenye huu uzi, japo kanipokonya hiyo like sijui kwa bahati mbaya. Ila yeye hajatia nenoNinachompendea jose nyuzi kama hizi za kumuulizia humuoni kabisa anapita kimya kimya mkuu mbona jose yupo humu labda mnapishana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakupa like halaf kaichukua like yake Jose kibokoKanipa like muda si mrefu kwenye huu uzi, japo kanipokonya hiyo like sijui kwa bahati mbaya. Ila yeye hajatia neno
Ndio, maana nilipata notification baada ya kuja kuangalia nikakuta post haina like.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakupa like halaf kaichukua like yake Jose kiboko