Nikusahihishe kidogo. Kasema alikuwa na mpango wa kujizawadia Ferrari na rolls-Royce. Sina budi kuuweka mpango huu kapuni na kuelekeza nguvu zaidi kwenye klabu ya Simba.Kwanza niweke bayana mimi ni mshabiki (sio mpenzi) wa Simba Sports Club, mabingwa wa nchi.
Kutokana na kushabikia klabu yetu pendwa, nimejikuta nikamfuatilia (follow) Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Bilionea Mo Dewji.
Namfuatilia Twitter mpaka Instagram.
Baada ya mechi ya Simba na Kaiser Chief, tajiri alitupia pale Twitani kuwa Alikua ana mipango ya kujizawadia Ferrari ama Royce Rolls lakini ameamua kuachana na mipango hiyo baada ya kipigo cha mbwa mwitu pale FNB Soccer City. Akamalizia kusema Simba ni zaidi ya furaha ya binafsi.
Juzi kati akaweka video Instagram akiwa anaimba nyimbo y Tundaman.Video hiyo ilifuatiwa na video nyingine akiwa gym akijenga misuli.
Sikatai Duniani kuna matajiri wengi wenye vituko lakini sio hulka ya Mo Dewji tunayemfahamu.
Sababu ni nini? Kipigo cha Sauzi ama kuna yanayoendelea nyuma ya Pazia.
Tajiri anaonekana ana mawazo mengi. Nini Tatizo?
Ilimshinda singida united akahamia African Lyon akakimbia huyo mjanja mjanja tu
Kwanza niweke bayana mimi ni mshabiki (sio mpenzi) wa Simba Sports Club, mabingwa wa nchi.
Kutokana na kushabikia klabu yetu pendwa, nimejikuta nikamfuatilia (follow) Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Bilionea Mo Dewji.
Namfuatilia Twitter mpaka Instagram.
Baada ya mechi ya Simba na Kaiser Chief, tajiri alitupia pale Twitani kuwa Alikua ana mipango ya kujizawadia Ferrari ama Royce Rolls lakini ameamua kuachana na mipango hiyo baada ya kipigo cha mbwa mwitu pale FNB Soccer City. Akamalizia kusema Simba ni zaidi ya furaha ya binafsi.
Juzi kati akaweka video Instagram akiwa anaimba nyimbo y Tundaman.Video hiyo ilifuatiwa na video nyingine akiwa gym akijenga misuli.
Sikatai Duniani kuna matajiri wengi wenye vituko lakini sio hulka ya Mo Dewji tunayemfahamu.
Sababu ni nini? Kipigo cha Sauzi ama kuna yanayoendelea nyuma ya Pazia.
Tajiri anaonekana ana mawazo mengi. Nini Tatizo?
Mdosi nae ana mawazo gani tena!! Ashukuru mpaka hapo walipofika, (kufika kwao hapo ni kama final). Timu yenyewe iliyowapa 4G inashika nafasi ya 11 ligi yao. Imedhihirisha timu zetu bado sana ngazi ya kimataifa.
Kombe linaenda Wydad Casablanca kwa akina msuva.. .. semeni oyeee[emoji119][emoji119][emoji1434]
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
Kwamba kila tajiri Ili asupport soka ni lazima aanzishe timu yake? Vipi yule tajiri wa Chelsea au yule wa Mamelod?Mo ni tapeli tu kama anapesa kweli aanzishe team yake kama azam ya mzee said Bakhressa
Ni kweliMwisho wa siku yeye Ni binaadamu Kama walivyo wengine
anasubiri another 5GKwanza niweke bayana mimi ni mshabiki (sio mpenzi) wa Simba Sports Club, mabingwa wa nchi.
Kutokana na kushabikia klabu yetu pendwa, nimejikuta nikamfuatilia (follow) Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Bilionea Mo Dewji.
Namfuatilia Twitter mpaka Instagram.
Baada ya mechi ya Simba na Kaiser Chief, tajiri alitupia pale Twitani kuwa Alikua ana mipango ya kujizawadia Ferrari ama Royce Rolls lakini ameamua kuachana na mipango hiyo baada ya kipigo cha mbwa mwitu pale FNB Soccer City. Akamalizia kusema Simba ni zaidi ya furaha ya binafsi.
Juzi kati akaweka video Instagram akiwa anaimba nyimbo y Tundaman.Video hiyo ilifuatiwa na video nyingine akiwa gym akijenga misuli.
Sikatai Duniani kuna matajiri wengi wenye vituko lakini sio hulka ya Mo Dewji tunayemfahamu.
Sababu ni nini? Kipigo cha Sauzi ama kuna yanayoendelea nyuma ya Pazia.
Tajiri anaonekana ana mawazo mengi. Nini Tatizo?
Hivi unadhani Mo ana hela? Hela ya baba yake, yeye ni kama PRO wa familiaIla Mo na pesa yote bado ana weakness kubwa sana ya kihisia. He is emotionally weak.