The Whistleblower JF-Expert Member Joined Dec 9, 2022 Posts 269 Reaction score 458 Jun 24, 2023 #1 Kampuni ya Betting ya 10 Bet imefungwa ghafla na inaondoka Tanzania. Sijui ni kitu gani kipo nyuma ya hili jambo. Tafadhali tujadili.
Kampuni ya Betting ya 10 Bet imefungwa ghafla na inaondoka Tanzania. Sijui ni kitu gani kipo nyuma ya hili jambo. Tafadhali tujadili.
Dallas green JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 1,509 Reaction score 3,040 Jun 24, 2023 #2 Bado Dp world
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Jun 24, 2023 #3 kazi kwenu wacheza Kamari
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,299 Reaction score 15,026 Jun 24, 2023 #4 Asee nilipiga bil5 kwenye jackpot yaokumbe mtaji wao wenyewe n mil 90 tu Unadhani watafanyaje Zaid ya kufunga kwa hyo Bado nawadai bil 4.910 Sent using Jamii Forums mobile app
Asee nilipiga bil5 kwenye jackpot yaokumbe mtaji wao wenyewe n mil 90 tu Unadhani watafanyaje Zaid ya kufunga kwa hyo Bado nawadai bil 4.910 Sent using Jamii Forums mobile app
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,758 Jun 24, 2023 #5 Ulikuwa umeajiriwa huko? Kama jibu ni hapana....karibu sportybet Kama jibu ni ndio,pole sana
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 9,770 Reaction score 20,464 Jun 24, 2023 #6 Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA. Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo.
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,427 Reaction score 24,146 Jun 24, 2023 #7 toka nipate akili timamu sijawahi sikia au kuona kampuni ya kamari imefirisika
The Whistleblower JF-Expert Member Joined Dec 9, 2022 Posts 269 Reaction score 458 Jun 24, 2023 Thread starter #8 CAPO DELGADO said: Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA. Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo. Click to expand... Huna unalojua wewe, hayo makampuni ni Baraka kubwa kwa sababu yametoa umaskini kwa maelfu ya vijana. Nipe andiko kwenye Biblia Takatifu linalokataza kamari,Tuanzie hapo kwanza
CAPO DELGADO said: Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA. Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo. Click to expand... Huna unalojua wewe, hayo makampuni ni Baraka kubwa kwa sababu yametoa umaskini kwa maelfu ya vijana. Nipe andiko kwenye Biblia Takatifu linalokataza kamari,Tuanzie hapo kwanza
THE FIRST BORN JF-Expert Member Joined Apr 24, 2019 Posts 2,337 Reaction score 4,848 Jun 24, 2023 #9 CAPO DELGADO said: Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA. Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo. Click to expand... Unasema makampuni ya kamari ni laana wakat Vijana wanaobet kwenye kila mkeka wanalipa Kodi wewe je unalipa Nini kwa siku kama mchango kwa Taifa?
CAPO DELGADO said: Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA. Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo. Click to expand... Unasema makampuni ya kamari ni laana wakat Vijana wanaobet kwenye kila mkeka wanalipa Kodi wewe je unalipa Nini kwa siku kama mchango kwa Taifa?
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,804 Jun 24, 2023 #10 CAPO DELGADO said: Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA. Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo. Click to expand... Unaweza kuta kuna kijana analipa kodi kubwa serikalini kukuzidi wewe. Hakuna laana pale, nipe andiko lolote kwenye biblia au Quran unasema ni laana.
CAPO DELGADO said: Makampuni ya kamali ni LAANA KWA TAIFA. Mungu uwasamehe kwani HAWAJUI walitendalo. Click to expand... Unaweza kuta kuna kijana analipa kodi kubwa serikalini kukuzidi wewe. Hakuna laana pale, nipe andiko lolote kwenye biblia au Quran unasema ni laana.
The Whistleblower JF-Expert Member Joined Dec 9, 2022 Posts 269 Reaction score 458 Jun 25, 2023 Thread starter #11 THE FIRST BORN said: Unasema makampuni ya kamari ni laana wakat Vijana wanaobet kwenye kila mkeka wanalipa Kodi wewe je unalipa Nini kwa siku kama mchango kwa Taifa? Click to expand... Huyo jamaa ni mbumbumbu sana,hajui hata maana ya Laana,anaropoka tu
THE FIRST BORN said: Unasema makampuni ya kamari ni laana wakat Vijana wanaobet kwenye kila mkeka wanalipa Kodi wewe je unalipa Nini kwa siku kama mchango kwa Taifa? Click to expand... Huyo jamaa ni mbumbumbu sana,hajui hata maana ya Laana,anaropoka tu