Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz
maziwa kulala husababishwa na kuwaachia wanaume wayabembee mara nyingi iwezekanavyo na kusababisha suspendary ligaments kulegea na kushuka chini ya diaphragm ambapo carterputy itaundergo marginalization. simple like thatππ
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz
Habari za jioni wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala. Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz
Mi nahic samtimez n nature ya maziw a min genes kwasabab kunawatu hawajawah hata kufany mapenz lakin yanalal na unakut hayajawah kushikw shikw lakin kwa mjamzito au aliyejifungua n pamoj na kunyonyesha
Habari za jioni
wataalamu, napenda kujua ni nini husababisha maziwa ya mwanamke kulala.
Je ni kweli kwamba kufanya mapenzi mara kwa mara ni moja kati ya sababu?
Naombeni msaada wa kitaalam plz
Maumbile tu na ukuaji wa mwanamke. Kwa sababu ukisema sababu ni kushikwa shikwa, kwani huyo mwanamke anapooga hayashiki shiki na kuyaminyaminya na sabauni ili kuyasafisha.