NINI FAIDA YA KUFANYA MAPENZI

hakuna faida yoyote
Sent from my Nokia-Ya-Tochi using JamiiForums mobile apps
Hiyo simu mbona kama sijaielewa vizuri lol!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
jamii forums inataka kuwaje sijui?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mie sielewi elewi yaan ni mwendo wa my tecno sijui my sm:j1 ata sielewi elewi
 
nasikitika vijana wa facebook wametuingilia hadi humu
hz post nilikua naziona facebook tu zikanilazim nijitoe kule nijikite na jf
sasa kuna haja ya kutafuta mbadala wa jf

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Asaalam ndugu na Jamaal!! Naomba kutambua ni faida zipi za kufanya mapenzi ingali mi na miaka 21. Nategemea kuanza mapenzi nikimaliza chi0!! Na zipi ni hasara za kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu
Asanteni[emoji120] [emoji120] [emoji120]

hizo bangili zinaonyesha wewe mzoefu katika fani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimecheka sana jmn, kwan kasema mhaya?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Jesus is my saviour and a friend
 
nasikitika vijana wa facebook wametuingilia hadi humu
hz post nilikua naziona facebook tu zikanilazim nijitoe kule nijikite na jf
sasa kuna haja ya kutafuta mbadala wa jf

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Huu sasa ni uchoko

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi we in mpagani wa kutupwa, huna dini maana ungekuwa na dini kisha ukaizingatia, swali hili wala lisingekuhangaisha

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…