Amina.Sawa mkuu nitatafakari
Tatizo siyo mtoto mkali watoto wakatli nishapita nao sana kuwakomesha lakini hawakomishukuru unapita nao unaitwa kiwembe au mpenda kulala uchi
usipopita nao utaitwa choko kabisa
cha kufanya tafuta demu mkali mpaka wajute
hapo utawala wa mtaani mpaka utapata ukimwi
Ujana Maji ya moto mkuu kumbuka na siku hizi hiyo mitego wanayotuwekea ni ngumu kuluka.Heshima yako huonekana kwa mwonekano wako,jinsi unavyojiweka ktk jamii ndio nao watakuheshim kwa wanavyokuona. kama unaweza chukua wa mbali unadhan wa kalibu wanakushinda??? Hio ndio hof yao kwa watotozao wa kike. My braza angalia mdada mmoja sahihi na utulie nae. Hata ukipita nae mara kumi per day hawatosema kama wanavyokusema sasa.
Basi wapotezee. Mradi huli, huvai kwa Pesa zao achana naoKwa usawa huu wa magu niende nikapange wapi mkuu ingekuwa enzi ya Jakaya sawa ningejikakamua
Hii sio dawa mwanaume hatakiwi kukimbia mtaa kisa hizo figisu ndogo sanaDawa Kuhama uswazi