Ricardo Damiano
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 103
- 82
Habari wakubwa..naomba kuuliza je ni vitu gani hupelekea fingerprint za iphone especially matoleo ya 6,6s,7,7plus n.k kufeli?
wakati hilo halitokei au ni nadra kwa simu za android..
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingi ni refurbished iPhones ndo zina hiyo fingerprint failure . Kumbuka ukihamisha ile home button ukaipeleka kwenye Cm nyingine imhaifanyi kazi au inaleta complications . Sasa Mchina ana refurb iPhone anaswitch hizo fingerprint home buttons mwisho wa siku hazikai.. Ukiona fingerprint failure jua home button si yake na ni njia nzuri ya kugundua refurb iphone
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ngoja uambiwe huna helaTofauti na ulimbukeni, IPhone ni takataka kama nyingine!!
Ukiwauliza users wanakwambia security!! We Tizitaalimwe Security gani unaitaka?;?
Mkuu refub ni official renewal ya simu so simu inakua completely functional.
Wengi huwa mnachanganya sana hapo, nijuacho hizo iphone ambazo ni fingerprint failure ni zile za magumashi ambazo wamiliki hawakutoa touch ID zao.
I stand to be corrected.
CC Chief-Mkwawa @pureviewzeis mkorinto Bavaria et al
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna refurb kibao ambazo siyo certified . Zipo nyingi mno na very cheap with cheap materials
Sent from my iPhone using JamiiForums
ππππHiyo hiyo kama home button hiyohiyo finger print na kaxi nyinginezo kila muda umepaguza laxima pachoke
Joke
ππau wivuNgoja uambiwe huna hela
Hela za kununua takataka sinaNgoja uambiwe huna hela