bana mlula athari ni nyingi lkn hii ya hacking inaniumiza sana na nmeshuhudia jamaa yangu wa karibu kajeruhiwa na MTU akimshutumu kumdhalilisha mtandaoni kumbe so yeye jamaa kuja kugundua kamuonea MTU asiye na hatia akamfata jamaa kumuomba msamaha lkn kashamtia kilema fake ids ni matatizo
Habari za wakati huu ndugu zangu, Leo nmekuja kwenu nikijaribu kuhoji athari za social medias katika maendeleo ya vijana. Tumeona faida nyingi 2 za Social Medias (Mitandao ya kijamii) Ila leo nngependa 2angalie upande wa pili wa athari za mitandao ya kijamii katika maendeleo ya vijana. Je zipi ni athari za Social Medias?
Ndio tunasaidiana kidogo kidogo mkuuAsante nmejifunza ki2 kaka
Ndio tunasaidiana kidogo kidogo mkuu
1. Kupoteza muda (Kwa wale ambao wanatumia muda mwingi)
2. Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii huweza kuharibu muonekano wako kwa jamii. Hata waajiri wanafanya background check huku kwene mitandao siku hizi.
Umepatia sana,Nyingine ni uvivu na kushusha vipaji mbalimbali,unakuta mtu mda mrefu yupo kwenye simu kuchati na kuchekacheka na watsup....
Habari za wakati huu ndugu zangu, Leo nmekuja kwenu nikijaribu kuhoji athari za social medias katika maendeleo ya vijana. Tumeona faida nyingi 2 za Social Media (Mitandao ya kijamii) Ila leo nngependa 2angalie upande wa pili wa athari za mitandao ya kijamii katika maendeleo ya vijana. Je zipi ni athari za Social Media?
Nyingine ni uvivu na kushusha vipaji mbalimbali,unakuta mtu mda mrefu yupo kwenye simu kuchati na kuchekacheka na watsup....
Mkuu hapo umenena watu wanakuwa brain washed kutokana na mdawanaoutumia mtandaoni bila kufanya la muhimu ndo maana tunapata kizazi cha dot com chenye uwezo mdogo wa kufikiri
Faida zipo nyingi kuliko faida