figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,557 Reaction score 62,119 Sep 14, 2011 Thread starter #21 nyakunyaku said: Ungekuwa jogoo, ungekuwa umeishafanyiwa tambiko haaaaaa Click to expand... aah wapi.wasingenipata.mda wote ningekuwa nakimbizana na wakina bebii.mia
nyakunyaku said: Ungekuwa jogoo, ungekuwa umeishafanyiwa tambiko haaaaaa Click to expand... aah wapi.wasingenipata.mda wote ningekuwa nakimbizana na wakina bebii.mia
mseseve JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 511 Reaction score 89 Sep 14, 2011 #22 mtetea katamani kuwa kama jogoo bt the same same to dada zetu wanatamani kuwa kama wanaume ili wafaidi kutongoza kama sisi
mtetea katamani kuwa kama jogoo bt the same same to dada zetu wanatamani kuwa kama wanaume ili wafaidi kutongoza kama sisi
lwampel JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 249 Reaction score 55 Sep 14, 2011 #23 Ahaaa! nimemuelewa kumbe anamaanisha jogoo wake hawiki! ha!ha!haaaaaa!