Mkuu weka kila kitu hapa tujiridhishe tukupigie huwez kuattach picha sema mtu aje umrushie whatsapp aweke hapa ndivyo biashara inavyoenda siku hizi.
Kwa mwenye uhitaji wa used desktops computer flat screen monitor na CPU Za IBM na HP compaq tuwasiliane kwenye whatsapp yangu 0778080031 ili tufanye Biashara
flatscreen monitor unauzaje mf inch 21
Akiweka bei atashindwa kuwapiga anavyotaka ndy maana ameweka namba
mbona id yako inaendana na mtu maarufu sana hapa jf ?
Janja yake imebuma😀
mbona id yako inaendana na mtu maarufu sana hapa jf ?
weka details processor..ram..hdd..windows installed...used from wapi etc..
Ameweka tangazo na simu akauza, maana hajarudi tena
Akiweka bei atashindwa kuwapiga anavyotaka ndy maana ameweka namba
Weka specifications ,models ,photo na muhimu zaidi bei kama umeamua kutangaza basi fanya mambo hadharani haya mambo ya ku-WhatsApp ni kupotezeana mida,ukiweka hayo mambo ndio tutaku-WhatsApp au kukupigia simu baada ya kujithaminisha
flatscreen monitor unauzaje mf inch 21