Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
Ni nzima haina tatizo lolote haijawai kufunguliwa, ina speaker mbil na ina nafasi ya kuongeza speaker nyingne. Ni mtumba original haina Bluetooth ila ina tumia waya wa 2 in 1 kuchomeka kwenye simu pia ina tumia flash na adapter. NB: kama ulishawai kutumia sea piano nazani unaelewa uwezo wake wa kupiga tofauti na boofer nyingine. Bei ni 150000 pia kuna maelewano. Kama umeipenda njoo DMView attachment 1069094View attachment 1069095View attachment 1069096
Sent using Jamii Forums mobile app
Mguu wa mkoani huoHuo mguu ni wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Seapiano zipo vizuri sana, nina mwaka wa 8 namiliki hii subwoofer japo ndogo zake na hii.Ni nzima haina tatizo lolote haijawai kufunguliwa, ina speaker mbil na ina nafasi ya kuongeza speaker nyingne. Ni mtumba original haina Bluetooth ila ina tumia waya wa 2 in 1 kuchomeka kwenye simu pia ina tumia flash na adapter. NB: kama ulishawai kutumia sea piano nazani unaelewa uwezo wake wa kupiga tofauti na boofer nyingine. Bei ni 150000 pia kuna maelewano. Kama umeipenda njoo DMView attachment 1069094View attachment 1069095View attachment 1069096
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe umeuona
[emoji2] [emoji2] [emoji2]