chilamjanye
Senior Member
- Oct 5, 2007
- 110
- 3
Samahani unaweza kunielekeza hicho kiwanja kipo maeneo gani kwani hilo jina hapo kwangu silifahamu na kwa Kawawa sipafahamu pia! Samahani sana napenda kupata kiwanja kwa sasa!
Una maana hicho kiwanza ni mita 17.5 X 17.5 ? maana hiyo ndio robo heka
kipo madale ukipita Tegeta kama unakwenda wazohill kiwanda cha simente ndo panaitwa madale kwa Marehemu Rashid Mfaume Kawawa
ndiyo maana ndugu
hiyo bei ni kubwa sana kwa hiyo saizi mkuu.
Jamani, nauliza madale na mivumoni ni sehemu moja? Nimepewa offer ya eka moja kwa million 19.... Mimi sipo bongo, sijui kitu kuhusu hizi sehemu. Please i need help.