Ninauza Kiwanja Msakuzi kituo cha mchoma

JAY THE SON

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
43
Reaction score
33
Ninauza kiwanja chenye ukubwa Wa (14*28)M kina ramani yenye barabara nguzo ya umeme IPO katika mpaka Wa kiwanja na maji ya chumvi laini yapo Jirani kabisa kuvuta haizidi mita 5 bei ya kiwanja hicho ni 3.5 million

Jinsi ya kufika ukifika kituo cha mbezi MWISHO unapanda gari znazoelekea MPIGI MAGOHE Unashukia kituo cha mchoma ukishuka ni mwendo Wa dakika 5 kutoka barabara kuu

0755156747
0719897276
Karibuni sana
 
Kimepimwa
Kimepimwa Na kina documents zote ?
 
Hapo kwa Mchoma ni upande upi? Na je, ni jirani na barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…