UTI hakuonekana,nimerudia vipimo vya mkoja mara tatu na Utrasound nimepima juzi tu hapo.Labda ni UTI
Nendo hospital yenye kipimo cha cystoscopy wakucheki njia ya mkojo kwa ndani hadi kwenye kibofuNina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still hazi kusaidia.
Nikapimwa tena figo,kibofu na tezi kwa Utrasound still matokeo yakatoka sina tatizo. Dakatari (Specialist wa Mkojo) aliniambia sababu niliumwa kichocho,may be inaweza kuwa tatizo akanishauri nitumie matunda ya Vitamin C.Ila still mpaka sasa nikimaliza kukojoa na sikia maumivu.
Sio maumivu makali ,ila ni maumivu yanayo nifanya nisiwe comfortable.
Naombeni ushauri na kama kuna specialist mzuri wa maswala ya mkojo niambieni nikaonane nae.
Unaweza nitajia mojawapo.Nendo hospital yenye kipimo cha cystoscopy wakucheki njia ya mkojo kwa ndani hadi kwenye kibofu
Hivi umesoma maelezo yangu ukaya elewa,huo ugonjwa sijawahi kuumwa kitu alicho niambia Dr May be sababu ya historia kichocho ambayo niliumwa nikiwa la pili, akanishauri nice vyakula vya Vitamin C.Bila shaka ulipata kisonono ukatibiwa ukapona halafu umebaki na hilo hali
Ikiwa huna uti wala gono...Nina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still hazi kusaidia.
Nikapimwa tena figo,kibofu na tezi kwa Utrasound still matokeo yakatoka sina tatizo. Dakatari (Specialist wa Mkojo) aliniambia sababu niliumwa kichocho,may be inaweza kuwa tatizo akanishauri nitumie matunda ya Vitamin C.Ila still mpaka sasa nikimaliza kukojoa na sikia maumivu.
Sio maumivu makali ,ila ni maumivu yanayo nifanya nisiwe comfortable.
Naombeni ushauri na kama kuna specialist mzuri wa maswala ya mkojo niambieni nikaonane nae.
Nilipima vyote UTI,Kaswende,Gono,Urine Calture mara tatu na Utrasound ya figo,Tezi na Kibofu bado hamna kitu,ila still kuna maamivu fulani (sio makali) ila yananifanya nisiwe comfortable.Ikiwa huna uti wala gono...
Je njia mkojo iliwahi kuwasha kidogo?
Ok, jaribu kutumia terbinafine kwa siku 14, hii hutibu njia ya mkoja kwa hara huenda una maambukizi ya fangasi kwenye njia ya mkojo.Nilipima vyote UTI,Kaswende,Gono,Urine Calture mara tatu na Utrasound ya figo,Tezi na Kibofu bado hamna kitu,ila still kuna maamivu fulani (sio makali) ila yananifanya nisiwe comfortable.
Ok, jaribu kutumia terbinafine kwa siku 14, hii hutibu njia ya mkoja kwa hara huenda una maambukizi ya fangasi kwenye njia ya mkojo.
Fangas dalili zake kuu ni kuwashwa njia ya mkojo, ikizidi huleta maumivu wakati wa kukojoa au ukibanwa na mkojo