Ninatafuta toyota porte

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,876
Reaction score
10,201
Habari wakuu,

Ninatafuta toyota porte ambayo haijaguswa ràngi wala body, iwe nzuri no D. Ninalipia 5m cash ndo budget yangu, tuwasiliane whatsapp tufanye biashara plz gari iwe nzima maana nazijua
0659756647

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilipata boss
kuna nyingine ya 5m pia namba d kama utaitaka
0623953036

Mambo niaje mtata Jerry!
Naomba unipe ushauri. Nimeona wewe unajihusisha na magari used.
Nimejipinda sana hatimaye mfukoni nina 5.0Mil.
Nahitaji gari dogo used (najua kutoka nje kwa bajeti hiyo ni ndoto)
Tuseme Passo, Vitz, Racits, Allex, Runx, Mazda.

Naweza pata gari nzuri kwa pesa hiyo?
Kumbuka hiyo 5 mil. inajumuisha Bima na kila kitu. Yaani mie nibaki kunyonga funguo tu.
 
Kwa bei hiyo unapata vitz na passo zipo ila nyingi ni piston 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…