Jamani ninatafuta toyota collora wadau,iwe na sifa zifuatazo:-
1.iwe ni 110 au 111 ya atleast mwaka 1999 na kuendelea.
2.kama ni used iwe angalau imeingia nchini mwezi wa 5 mwaka huu.
3.iwe imetembea chini ya km 70000.
4.kuwa na rims nzuri na mziki ni sifa za ziada.
5.offer yangu ni kuanzia shs 6.5m na kuendelea.