Ingekuwa n hvy bc kiuno changu kingekuwa kimekatikaKatika yote, punyeto pia husababisha kiuno kuuma, usije fanya kwa namna yoyote.
Acha kupotosha ummaIngekuwa n hvy bc kiuno changu kingekuwa kimekatika
Kwan n mm ndie napiga nyeto au umma?Acha kupotosha umma
Pole sana, jaribu kutumia dawa lishe(UG-CARE PLUS AU CELLIFEZ STEMCELL) naona wengi wenye matatizo ya maumivu ya viuno na migongo zinawasaidia.Habari wana JF poleni na majukumu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili hali bado ipo vilevile mpaka imefikia mahala hamu hata ya tendo la ndoa sina kabisa.
Sababu ya tatizo nahisi nikazi ninayofanya yakubeba vitu vizito nakuchimba mashimo nimejitahidi kutafta kazi nyingine nimekosa ila kwassa naomba msaada wanamna ya kutatua hili tatizo lakiuno natanguliza sana- shukra nizangu asanteni.
Hizo zinazotoka kwenye uume hazihusiani na kiuno kuumaHuu ugonjwa mimi unanisumbua sana kwa sasa. Kazi yangu ni uvuvi na wala siyo ya kubeba vitu vizito. Nimeshatumia dawa za hospitalini mpaka tosha. Sasa hivi nipo napambana natumia dawa za asiri. Kazi imekuwa ngumu sana na kuna kitu kinanipa wakati mgumu sana. Kwenye uume wangu vinatoka vitu vyeupe kama makamasi na havina harufu yoyote. Nimepima magonjwa ya zinaa lakini matokeo ni hasi. UTI nimepima hakuna. Nimepigwa picha ya mionzi naambiwa mifupa iko sawa. Mpaka najiuliza hivi nimerogwa ama. Kukaa hakuna shida wala kulala na uchuchumaa. Shida ni kusimama na kutembea. Toka pasaka nasumbuliwa na huu ugonjwa
hamna kitu kama ichoUpwiru.
Pingili za mgongo zinapata tension unapobeba mizigo!!Habari wana JF poleni na majukumu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili hali bado ipo vilevile mpaka imefikia mahala hamu hata ya tendo la ndoa sina kabisa.
Sababu ya tatizo nahisi nikazi ninayofanya yakubeba vitu vizito nakuchimba mashimo nimejitahidi kutafta kazi nyingine nimekosa ila kwassa naomba msaada wanamna ya kutatua hili tatizo lakiuno natanguliza sana- shukra nizangu asanteni.
Pole sana jaribu kununua Fastum Gel upake mahali panapouma, ni ya kupakaa sio kuchua. Pole sanazinauzwa wapi
Kwanza nianze na kumpa pole kijana mwenzetu..