Ninapomsoma Zero IQ machozi yananitoka

Kumbe zero iq naye ni dume, kaongelewa kama jike na changu mwenzake.
 
Na Drip tena hapo ndo umetibua mlolongo wote kuonekana kumbe ni Chai
 

Ihiiii bhaghoshaaa
 
Nkiwa na njaa mm ndo nagonga mbunye masaa hata 2 ndo nfike mshindo nashangaa mkuu wa kaz unastuka stuka [emoji23][emoji16]
 
We ungefaa sana kuwaandikia script bongo Muvi, da Dogo we mkali sana, Kwa bongo huna mshindani.
Utauza sana ukiandika script.
 
Punguzeni kelele wanaume
 
lile jina la wakusindikiza linanifaaa mimi

na hamna kitu inauma kama kumsindikiza demu

unaweza msindikiza toka makumbusho to mwenge by foot hiyo

mnapoenda huwezi ona umbali maana si unaenda unamwimbisha

ishu ni anafika anakwambia ok CONTROLA tutawasiliana zaidi

mzee unaanza jifkiria unarudije makumbusho kwa mguu peke ako hapo ushafka mwenge

huo muda lazima uombe hata lift maana kurudi kwa mguu ni ngumu asee (ni mbali et)
 
Huu mwandiko ni kama wa Kiduku Lilo
 
Kama hana simi analowaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…