umeona eeeh Diamond lazima akimbize hao wengine bangi tu maneno meeengi perfomance sifuri.Mi pia namkubali sana Diamond, akiwa stejini anajua nini kaenda kufanya!!!!!!!
sio wasanii uchwara kazi kushika suruali kwa mbele maneno yao ni "ooohhyeeeeaaaa piga keleeeee"
nyambaffff tumekuja kupiga kelele au kuona unapafom
hahaa madam naona uko hoi bin taaban.Me kile kiuno tu ndo chanimaliza.
Huwa najiuliza siku itakuwaje...
Nampenda sana jamani.
hata uche utampaKitu ambacho kinanifanya nimpende Diamond ni jinsi anavyompenda,mjali na kumuheshimu mama yake.
Mimi kama mwanamke natamani siku nikiwa mama mwanangu anithamini kama ambavyo Dimond anamdhamini mama yake.Nilipenda jinsi anavyokwenda kuchukua baraka kwa mama yake kabla ya kwenda kwenye show zake.
Honestly mimi siamini kama Diamond ni mshirikina,kinachompandisha Diamond ni baraka za mama yake.Kama diamond angekua anafanya vitu vya kumsononesha mama yake na yeye angevuma kidogo tu nakuporomoka kama wenzio.
Pia ukweli Diamond ana sauti nzuri na ni mbunifu.
Kitu anachoniudhi Diamond ni vile alivyoonesha ule mboxer mweupe mbali ya hapo tukimsuport anaweza kufika mbali sana ktk ramani ya muziki wa kimataifa.
Kati ya nyimbo zake ninazozipenda ni Nitarejea.Mashairi ya ule wimbo ni mazito ukiyatafakari kwa undani yanatuhusu sana watanzania.
Me kile kiuno tu ndo chanimaliza.
Huwa najiuliza siku itakuwaje...
Nampenda sana jamani.
Hata mi nampenda sana yani sana namaanisha sana!!!!!!!!!!!!!
Taratibu wewe....
Cha kumkomaza mtoto wa mwenzio kisa!
Achii!
huyu kijana hana adabu kwa binti za watu
nimefurah vile raia wamemuunga mkono mtoa mada
nilitegemea kuponda kma jadi yao
Kuperform anajitahidi hasa lakini pia Mhhh kiatu usichokivaa huwezi kukisemea na hapa namaanisha kuhusu ushirikina...... how sure are you kwamba sio? kijana wa tandale kwa mambo hayo ndio wenyewe.......