Huo uliotoa sio uchafu ni natural secretion tatizo ndio lilianzia hapo. Ni kama kusema mate yaliyo kinywani ni uchafu. Huenda ulikuwa na nta nyingi sasa katika jitihada za kutoa nyengine umesukumia kwa ndani( impaction) na kusababisha tatizo. Tumia vilainishi kama glycerine ear drops, ikishindikana kamuone ENT specialist.