Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Oct 15, 2017 #1 Habarini wana JF natumaini wazima, Kuna kitu kinanitatiza kidogo uhusiano wa mtu kuumia(kubanwa na kitu ama kusababisha maumivu makali mwilil) na kutoa sauti( mlio) unakujaje hapo. Msaada please
Habarini wana JF natumaini wazima, Kuna kitu kinanitatiza kidogo uhusiano wa mtu kuumia(kubanwa na kitu ama kusababisha maumivu makali mwilil) na kutoa sauti( mlio) unakujaje hapo. Msaada please
B bilu97 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,430 Reaction score 1,603 Oct 15, 2017 #2 Duh hili swali mbn halieleweki funguka mkuu
man of steel JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,099 Reaction score 2,356 Oct 15, 2017 #3 labda huyo mtuu umuwekee vibration kupunguza azaa za mlio.
B bilu97 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,430 Reaction score 1,603 Oct 15, 2017 #4 man of steel said: labda huyo mtuu umuwekee vibration kupunguza azaa za mlio. Click to expand...
Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Oct 15, 2017 Thread starter #5 bilu97 said: Duh hili swali mbn halieleweki funguka mkuu Click to expand... Chek tena
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,759 Reaction score 197,412 Oct 15, 2017 #6 Meza Panadol... Cc: mahondaw
ywf JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 801 Reaction score 961 Oct 15, 2017 #7 nafkiri ni ishara ya kuomba msaada wa haraka
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,267 Reaction score 12,736 Oct 15, 2017 #8 Cjakuelewa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Oct 15, 2017 #9 Wakuchanja said: Habarin wana jf natumaini wazima, kuna kitu kina nitatiza kidogo Uhusiano wa mtu kuumia(kubanwa na kitu ama kusababisha maumivu makali mwilil) na kutoa sauti( mlio) unakujaje hapo Msaada plz Click to expand... Kwa sababu sehemu husika iliyobanwa huleta maumivu makali ndio maana watu hutoa ukelele fulani hivi...Mambo ya hisia ndio yalivyo mkuu
Wakuchanja said: Habarin wana jf natumaini wazima, kuna kitu kina nitatiza kidogo Uhusiano wa mtu kuumia(kubanwa na kitu ama kusababisha maumivu makali mwilil) na kutoa sauti( mlio) unakujaje hapo Msaada plz Click to expand... Kwa sababu sehemu husika iliyobanwa huleta maumivu makali ndio maana watu hutoa ukelele fulani hivi...Mambo ya hisia ndio yalivyo mkuu