Mungu akuponye hilo tatizo .Jamani msaada nina shida ya ngozi, ni miguu tu. Nimeshatembea hospital nyingi kama KCMC kwa maspecialist lakini wapi, dawa za kienyeji wapi
Msaada japo nikikalibia period ni shida zaid, ni vipele vinatoa usahaa na kuniacha kama hivo sasa hivi situmii mafuta yoyote zaid ya dawa ya hospital na ni baada ya kuambiwa kuwa nisitumie mafuta aina yoyote Ile
Msaada jamani, mimi ni mwanamke
View attachment 2267470View attachment 2267471
Chumvi ni dawa nzuri sana ila kama ana rushes atasikia maumivu ambayo hajawahi sikia toka azaliwe.Pole sana sister. Je umeshajaribu kuuosha na maji ya chumvi ya mawe? Kama bado hebu fanya hivyo.
Chemsha maji yawe katika hali ya joto lakini sio la kuunguza then yaweke chumvi ya mawe kiasi ukiyaonja unaisikia radha yake, chukua kitambaa fanya unaosha kama unauchua vile. Unaweza kufanya asbh na jioni au jioni tu wakati wa kwenda kulala. Fanya hivyo kwa muda fulani na Mungu atafanya wepesi.
NB: chumvi ni dawa moja nzuri sana
Jamani msaada nina shida ya ngozi, ni miguu tu. Nimeshatembea hospital nyingi kama KCMC kwa maspecialist lakini wapi, dawa za kienyeji wapi
Msaada japo nikikalibia period ni shida zaid, ni vipele vinatoa usahaa na kuniacha kama hivo sasa hivi situmii mafuta yoyote zaid ya dawa ya hospital na ni baada ya kuambiwa kuwa nisitumie mafuta aina yoyote Ile
Msaada jamani, mimi ni mwanamke
View attachment 2267470View attachment 2267471
Asante snaa kwa ushauri dearNafikiri unaweza kuwa na hili tatizo: Progestogen hypersensitivity
Unahitaji ushauri wa daktari zaidi ambaye anahusika na matatizo ya ngozi. Usipende kutumia midawa ya kienyeji inaweza kuja kukuletea matatizo makubwa zaidi. .
Asante snPole sana sister. Je umeshajaribu kuuosha na maji ya chumvi ya mawe? Kama bado hebu fanya hivyo.
Chemsha maji yawe katika hali ya joto lakini sio la kuunguza then yaweke chumvi ya mawe kiasi ukiyaonja unaisikia radha yake, chukua kitambaa fanya unaosha kama unauchua vile. Unaweza kufanya asbh na jioni au jioni tu wakati wa kwenda kulala. Fanya hivyo kwa muda fulani na Mungu atafanya wepesi.
NB: chumvi ni dawa moja nzuri sana
Get well soon dearest. .Asante snaa kwa ushauri dear