Jaribu kuapply LAW SCHOOL OF TANZANIA 2007[ 1] established under THE LAW SCHOOL ACT[2],Ambapo ukifaulu mitihani na kuwa Advocate [3] baada ya kuapishwa na jajimkuu wa Tanzania ( chief justice)[4],
Ll.B ni nini? Andika mambo yanayoeleweka kijana. Onyesha kuwa wewe kweli una Legum Baccalaureus (LL.B). Nani atamchukua mtu ambaye hajui hata pa kuweka herufi kubwa kwenye uandishi?

school of law its expensive.. pengine ni moja ya sababu ya kutafuta kazi kwanza na pi hofu ya kushindwa kwakuwa sheria ni practise.. sio mbaya kama akipata ujuzi wa procedure zinavyokwenda then akijipanga aendelee sababu ni kweli s.o.l ni muhimu na ni lazima.
msaidieni panapowezekana lakini.
Mungu awabariki.
ll.b ni nini? Andika mambo yanayoeleweka kijana. Onyesha kuwa wewe kweli una legum baccalaureus (ll.b). Nani atamchukua mtu ambaye hajui hata pa kuweka herufi kubwa kwenye uandishi?