Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Kasi ipi, wachezaji hawawez kulingana spidi hata sku moja mbona chama hana kasi lakin ana mchango mkubwa kwenye matokeo ya simba!?hana kasi man to man na mtu kama TK au Makarani hawezi kabana nao. Mipira anayocheza yote inamkuta ktk eneo alilopo hawezi kufukuza ndiyo maana anaokoa mipira mingi kwa tackoling koz anakuwa nyuma ya straiker mwenye kasi anawasaidia simba kwa kujua jinsi ya kujipposition tu...siku akicjheza na mtu style ya Mkarana au Ton wa Merreikh utaona zaidi uwezo wake....
Kivipi wakati wafuasi wake wanakwambia anakaba mabeki?Mchezaji pekee ambaye mpaka Sasa tuna Wasiwasi nae, ni Mugalu tu.
Mbona au merekh tushacheza naohana kasi man to man na mtu kama TK au Makarani hawezi kabana nao. Mipira anayocheza yote inamkuta ktk eneo alilopo hawezi kufukuza ndiyo maana anaokoa mipira mingi kwa tackoling koz anakuwa nyuma ya straiker mwenye kasi anawasaidia simba kwa kujua jinsi ya kujipposition tu...siku akicjheza na mtu style ya Mkarana au Ton wa Merreikh utaona zaidi uwezo wake....
Uliona nafasi alizopoteza kwenye game ya dar?? pass accuracy pekee haitoshi.NUSU MTU NUSU CHUMA.
Mchezaji bora kabisa kwangu ni Thadeo Lwanga.
Mtu anapiga pasi zote Acurecy dhidi ya AS Vita kwa Asilimia 100%
Lwanga ni hatari. Ile mtu inakaba kinoma[emoji23]NUSU MTU NUSU CHUMA.
Mchezaji bora kabisa kwangu ni Thadeo Lwanga.
Mtu anapiga pasi zote Acurecy dhidi ya AS Vita kwa Asilimia 100%
Al Merrikh ipi? Hawa tuliowapiga 4 au kuna wengine?hana kasi man to man na mtu kama TK au Makarani hawezi kabana nao. Mipira anayocheza yote inamkuta ktk eneo alilopo hawezi kufukuza ndiyo maana anaokoa mipira mingi kwa tackoling koz anakuwa nyuma ya straiker mwenye kasi anawasaidia simba kwa kujua jinsi ya kujipposition tu...siku akicjheza na mtu style ya Mkarana au Ton wa Merreikh utaona zaidi uwezo wake....
Muhimu anaokoa kwa usahihi haijalishi ni namna gani anaokoa.hana kasi man to man na mtu kama TK au Makarani hawezi kabana nao. Mipira anayocheza yote inamkuta ktk eneo alilopo hawezi kufukuza ndiyo maana anaokoa mipira mingi kwa tackoling koz anakuwa nyuma ya straiker mwenye kasi anawasaidia simba kwa kujua jinsi ya kujipposition tu...siku akicjheza na mtu style ya Mkarana au Ton wa Merreikh utaona zaidi uwezo wake....
Mbona kichwa cha habari hakina uhusiano na habari yenyewe kabisa ni mbingu na ardhiKila mtu ana maoni yake, yangu ni haya; Dirisha lililopita la usajili, lile kubwa na dogo, Simba walifanya sajili kwa utulivu wa hali ya juu sana. Walitulia na kuangalia mahitaji ya timu, ndiyo maana sura zao mpya zimelipa sana.
Kuanzia kwa Larry Bwalya, Bernard Morrison, Thadeo Lwanga na Chris Mugalu. Sidhani kuna hata mmoja ambaye, Simba wanajuta kumsajili.
Ukiniuliza mimi, usajili bora zaidi wa Simba katika dirisha lililopita, sitahitaji hata sekunde ya kufikiria, jibu langu litakuwa wazi na lililonyooka, 'JOASH ONYANGO'
Ni beki anayejua maana ya kulinda lango lake. Ni mtu ambaye jina lake unatakiwa ulitaje la kwanza kabisa unapoulizwa mfano wa 'STOPPER' mmoja wa uhakika.
Joash anakaba sakafuni, anacheza hewani tena uhakika sana. Achana na hilo, Onyango ni mwepesi sana wa kusoma madhaifu ya wenzake hivyo anasawazisha makosa yao kwa urahisi mno.
Jina la Chama, show za Bwalya na Miquissone, na magoli ya Mugalu na Kagere, yanafanya baadhi ya kazi za wachezaji wengine zionekane za kawaida, kama inavotokea kwa Onyango.
Nafikiri kati ya wachezaji watatu bora wa msimu wa Simba, jina lake linapaswa kutokea. Joash ni habari nyingine aisee. Kwa mabeki wa kati Ligi kuu Tanzania Bara Onyango anatokea dunia yake kabisa[emoji119]
.
[emoji871]@deo_mwanasokaView attachment 1755697
Kwani hajacheza nao hao you need to some point give a credit to person when it deserveshana kasi man to man na mtu kama TK au Makarani hawezi kabana nao. Mipira anayocheza yote inamkuta ktk eneo alilopo hawezi kufukuza ndiyo maana anaokoa mipira mingi kwa tackoling koz anakuwa nyuma ya straiker mwenye kasi anawasaidia simba kwa kujua jinsi ya kujipposition tu...siku akicjheza na mtu style ya Mkarana au Ton wa Merreikh utaona zaidi uwezo wake....