Mkuu aruoha ndo wapi!!NA BIFU NA ADIMINI.
1)nione sina adabu,ukweli nikuambie.
Niseme kilo nisibu,upende na uchukie
Acha nipige ulabu,na haya inikimbie.
Na bifu na adinimi,natamani nikuteke.
2)ni mbaya yako tabia,niseme usizuie.
Hivi ulishatubia,shetani akukimbie.
Ona unavyochukia,wataka nikuchunie.
Na bifu na adimini,matamani nikuteke.
3)kisa kundi li ni lako,basi chako siyo chake.
Kundi halina mashiko,kama kaa la mashuke
Adimini ka tambiko,si ni bora uondoke.
Na bifu na adimini,natamani nikuteke.
4)kazi kututoa toa,lini nawe uondoke.
Wengi wetu twachukia,hatutaki turopoke.
Hapa tulipo fikia,twatamani uanguke.
Na bifu na adimini,natamani nikuteke.
5)adimini ka mganga,nyota yako si mashuke.
Roho mbaya ka kipanga,kama bomu ulipuke.
Hivi unakula unga,kama teja la temeke.
Na bifu na adimini,natamani nikuteke.
Shairi=NA BIFU NA ADIMINI.
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Aruaha.
+255624010160
iddyallyninga@gmail.coa
adimini unalia,kisa vocha za mkopo.we kaka jikatae,ukisemacho ni pumba.
admin umeongelee,amekuibia mchumba?
naomba usiendelee,nitakunyonga kwa kamba.
na nguvu zikulegee,ivi una undugu na lipumba?
nilijua utasema,kisa group ni lako.Jicho limekutoka,hebu nihurumie
maneno yakutoka,kama whatsap umetengeneza wewe
nipishe nifanye yangu,yako nimekuachia
group nimetengeneza mie,yanini uingilie..?
weka pozi,upate konzi
mi mdonzi,nakupa dozi
usilete upuuzi,mb nanunua mwenyewe
sorry leo weekend niko dug!!
nahisi una kichaa,we ni mmoja wa wanne.adimini unalia,kisa vocha za mkopo.
ubabe watuletea,ukipaa kama popo.
mchana watuchekea,kisa umetoka depo.
hivi umesema nani,sinaga undugu nae.
na utulie kweli,usirudie upuuzi.kama mambo ndiyo hivyo,basi bora nitulie.
Nin tena?na utulie kweli,usirudie upuuzi.
nitakupaka pilipili,hadi utokwe na mashuzi.
najua huna akili,wewe ni zaidi ya mpuuzi.
admin nina hasira,nitakutoa kundini.
pita kule usiniulize,nitakufuta na wewe.Nin tena?
Hapa kazi tu,nakufunza chuo kikuunilijua utasema,kisa group ni lako.
ungetwambia mapema,tukuache peke yako.
group lako ni chama,chetu wala siyo chako.
adimini acha hizo,ubabe wala hufai.
huyu ni mwehu,'tapigwa ban takatifu.Wewe wachokonoe tu,
Utapigwa Ban Takatifu...
Shauri yako
unataka tuogope,na tuache kukusema.Kundini nakuadi, matusi unakoleza
Baadae nkikutoa, adimini ni mbaya
Mapovu mnatupa, nidhamu pembeni
Nchi ni ya viwanda, hatupendi ujinga.