Daaaah hivi kwann wanaume msiwe kama mr 💰 🤔🤔🤔🤔 wa tandaleWakuu habari.
Kuna ka binti ka kigogo ninekatoke juzi kati. Kakaniambia nikape wiki katanijibu. Nilivyokua nakachulia ni kama ka wife material hivi. In short niko kwenye kutafuta chaka langu la milele.
Sasa bwana nimesubiri hio wiki huku nikijitahidi kuwa romantic kwake kuongeza ushawishi. Sasa jana ndio iliku siku ya kupata majibu yangu. Nikakapigia sim hakakupokea, baadae kakanitext "nitumie sms". Mmh, tukaanza kuchati. Basi wakurungungwa nilitumiwa hizi sms mbili hapa chini.
Jaman masponsor mnatuharibia wake zetu watarajiwa. Sasa iv wanawaza kuhudumiwa tu na sio kujenga familia. Kama mnawahudumia hakikisheni mnawaoa kabisa.
Wanaume wenzangu hali ikoje huko, mmewahi kutana na hii? Yaani sharti la kukubaliwa anakuchana live umhudumie? Kwa uzoefu wangu, hata wale wa mizinga huwa hawatuambii live hivi. Utaona vizinga tu. Na nilichotegemea kwake kama angekua bint mwenye akili basi angenipa shart la kwenda kwao tufuate taratibu. Ningerukaruka kinoma ningemuona anaakili. Ila kwa hili natafuta chaka lingine hadi nikutane na mke wangu. Mm siko kwenye kampeni ya kupinga ndoa. Hawa wapinga ndoa ndio wanatuongezea single mother huku mtaani.
Sasa wakuu sijakajibu hadi sasa. Vip jamani nijilipue? Au itakula kwangu?View attachment 2547146
Uhudumie kabla ya ndoa?Wakuu habari.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee baba lakini si umemuelewa alichomaanisha?Broh una Matatizo ya macho? Mbona font kubwa sana hizo. Last time naona font kama hizo, nilishika simu ya Mshua
Huo mtego rahisi sanaWakuu habari.
Kuna ka binti ka kigogo ninekatoke juzi kati. Kakaniambia nikape wiki katanijibu. Nilivyokua nakachulia ni kama ka wife material hivi. In short niko kwenye kutafuta chaka langu la milele.
Sasa bwana nimesubiri hio wiki huku nikijitahidi kuwa romantic kwake kuongeza ushawishi. Sasa jana ndio iliku siku ya kupata majibu yangu. Nikakapigia sim hakakupokea, baadae kakanitext "nitumie sms". Mmh, tukaanza kuchati. Basi wakurungungwa nilitumiwa hizi sms mbili hapa chini.
Jaman masponsor mnatuharibia wake zetu watarajiwa. Sasa iv wanawaza kuhudumiwa tu na sio kujenga familia. Kama mnawahudumia hakikisheni mnawaoa kabisa.
Wanaume wenzangu hali ikoje huko, mmewahi kutana na hii? Yaani sharti la kukubaliwa anakuchana live umhudumie? Kwa uzoefu wangu, hata wale wa mizinga huwa hawatuambii live hivi. Utaona vizinga tu. Na nilichotegemea kwake kama angekua bint mwenye akili basi angenipa shart la kwenda kwao tufuate taratibu. Ningerukaruka kinoma ningemuona anaakili. Ila kwa hili natafuta chaka lingine hadi nikutane na mke wangu. Mm siko kwenye kampeni ya kupinga ndoa. Hawa wapinga ndoa ndio wanatuongezea single mother huku mtaani.
Sasa wakuu sijakajibu hadi sasa. Vip jamani nijilipue? Au itakula kwangu?View attachment 2547146
Broh una Matatizo ya macho? Mbona font kubwa sana hizo. Last time naona font kama hizo, nilishika simu ya Mshua
We hujui mondi anafanya nn 🤯 kwa mademuAnafanyaje mkuu. Tupe madini
Pole sana mkuuNi kweli kaka mxhobyangu yanashida, mwaka wa 4 huu, font ndogo inanisumbua mkuu
Noted mkuuUhudumie kabla ya ndoa?
Mimi na ubahili wangu wote huu sikubali kutoa hela kiboya boya hivi na kama yeye ametanguliza zaidi hela kuliko upendo basi aende akaolewe na mawakala wa Mpesa wapo wengi tu mitaani.
Mwanamke akitanguliza hela zaidi jua siku ukiwa huna hela atakukumbia na kwenda kwa wenye hela hii ndio nature ya wakawake wa kisasa japo sio wote ni baadhi tu
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Ee, anataka huduma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee baba lakini si umemuelewa alichomaanisha?
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
we mtu anaomba ushauri unaanza leta mambo ya font hapa…toa ushauri acha storyBroh una Matatizo ya macho? Mbona font kubwa sana hizo. Last time naona font kama hizo, nilishika simu ya Mshua
Senge wewe[emoji16][emoji23] nikupe namba tena?Huo mtego rahisi sana
Jibu ni NDIYO tulishakubaliana kwenye vikao vyetu
Na pia kama. Ulimpa 100% ati ni wife material punguza mpaka zifike 60%
Mimi nilipigwa mzinga siku hiyohiyo dem ananikubalia, niliuruka lakini sikumwacha dem
It turned out Dem ni wife material sijawahi ona
So huenda ni mtego na ni lazima ufaulu, jibu ni NDIYO.
Ukishindwa nipe no yake PM
😅😅😅 Ushauri nimekuachia ww. Weka busara zako hapo 😅😅😅we mtu anaomba ushauri unaanza leta mambo ya font hapa…toa ushauri acha story