Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
kwenye forums kama yako na nyingine nyingi kitu cha msingi kabisa na "CONTENT" mambo ya muonekano yanakuja badaye kwa sababu unaweza kubadili muonekano kadri uwezavyo bila kupoteza content katika database yako. cha msingi nnachoshauri ni kuchagua vitu vya kuwashika wadau ili waje kwako na wasitoke (hii ndo kazi kubwa). forum haikamiliki bila wadau na wadau hawakai kama hamna kitu special cha kuwafanya waje kwenye forum yako.
thank youDeejay nasmile
Hongera sana !
Doesn't seem proffesional yet!
Good luck
BTW
Titles sizani kama kuna umuhimu wakutumiam full Caps ! (Capital letters) ili kuleta muonekano mzuri !
Kama alivyosema hapo juu kiongozi Nyasiro content ndo kitu cha msingi !
You cannot help post count but atleast its help USER to have a Reason to Join !
HOW WOULD THEY JOIN AN EMPTY FORUM ?
Definetly try to add some content which other forums doesn't have !
Best Luck
snipa
hongera ila jaribu kutafuta rangi nzuri zaid
mfano rangi zipi mkuu.ambazo zitakaa poa
tafuta rangi ambazo haziumizi macho kwa msomaji wa forum yako ndipo waweza kuwapata watembeleaji wengi zaidi nakosea mkuu Joe Nyandigira ?
HABARI WAKUU
Nimeanza kutengeneza forums kwa kutumia free php script ya PHPBB.ninaomba wataalamu wangu tuipitie na mnisaidie kutoa makosa na ushauri wenu kwa jinsi mtakavyoiona.
lengo=nataka iwe forum ya kiburudani zaidi hasa kwa vijana wenzangu,ambapo tutakuwa tunajadili na kupeana ujuzi mbalimbali,taarifa au masuala mbalimbali ya kiburudani zaidi.
jina nililopendekeza= TANZANIAN YOUTH NETWORK kwa kifupi ni YOUNET SO so hata anuani yake itakuwa NI ?????? - ???????????,???????! Japo kwa sasa bado sijanunua domain .
so ninaomba tuikague kwa pamoja ili mnisaidie kuifanya iwe advanced1
link ni hii hapa
TANZANIAN YOUTHNETWORK ⢠Index page
C6 snipa Nyasiro @Mtazamaji @Einstein @CHAMOTO @Given Edward
ile LOGO sio umekosea bali umechemsha
emu iangalie kwa jicho la kisomi kama hauwezi tengeneza Logo basi employ mtaalamu akufanyie I see
Pili Ile template ya FORUM mbona naona watu wengi wameitumia yaani too much
CPROXY ⢠Index page
TunnelGuru forum yao ilikua hivi hivi ila wamei terminate
Yaani kwa kifupi hata mm ambae sijasoma web design nikikomaa natengeneza hiyo kitu inavyoonekana ni rahisi ndo maana watu huwa wanaitumia fasta fasta
Y usitengeneze muonekano wako
Kama alivyo suggest ladyfurahia,rangi ulizoweka ziko so bright ziko offensive kim ng'aro yaani kama bango la tahadhari vile,kama lazima uzitumie hizo au combination ya hizo basi punguza texture yake,na hizo font zinaonekana stiff mno not pleasing to the eye tatizo linaweza kuwa font style,size or color used!mfano rangi zipi mkuu.ambazo zitakaa poa