alikua dem wako au demu wa rafiki yako sija elewa apo mwisho
hahahaaaaaaa mme wa dada yangu ana 78.kwel ni haki wakutafutie mkeUmri sawwa na mme w dadaako
Sijaona dem w kupeleka hom wamuone!huwa tunamalizana nao huku huku kitaaa..upeleke dem hom umtambulishe kesho azingue umuache itakuwa kujichoresha tuuKijana iweje wazazi wakutafutie mke hizi ni zama zingine na vp kuhusu wewe ukimya wako wa kuleta mchumba home mpk wazaz wanakuwa na wasiwas
Hahahah. Hali kama hiyo kuna mshikaji wangu pia imemkuta. Lakini yeye babake alikuwa anasisitiza kumuuliza kama ana tatizo asemeHeri ya msimu huu wa sikukuu.
Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile....
Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke nioe nitake nisitake au kama nna tatizo niseme walitaftie ufumbuzi.
Hahaha sijui wanahis mi sidisi.
Juzi nikaambiwa twende tutoke mara moja baba na mama hao tukajitupia kwenye ndinga...
Njiiiiim njiiiim tukiwa njiani ndo naambiwa bwana mkubwa unajua tunaenda wapi??!!sijui nyie mniambie maana mmenibeba tuu!
Ahaaa mwanangu tunaenda sehem umuone mchumba km atakufaa tuendelee na michakato mingine!!
tunafunga breki mbele ya nyumba ya kina yule dem wng!kidogo niruke nakpiga moyo konde huku kijasho kidooogo kinatoka.
Wameongea paleee mi nipo kimya mara dem akaitwa wala hata hajashtuka wala kujali zaid ya kujifanya anaona aibu!eti jamani dem aliwe na rafk yko kisha muachane then leo upewe hilo zigo huku wazaz wanashikilia kwmba huyo ndo mchumba mzur tunamtaka na ametulia sana na ni bikra!hahahahaha mi nikawaambia sijampenda tuuu..
Hapa leo sijaenda hata hom kw huo mtiti ambao nitaletewa
Daaahhh, mshua kapita kwa mwendo wa Bombardier amekuacha mataa.....Dem wng afu rafk yng akaniovatek then leo bila kujua eti awe mchumba tena.wazaz wt hawajui hilo muvi tunajua mi na dem tu
Heri ya msimu huu wa sikukuu.
Ni mda sasa umepita nyumban wakinilazmisha kuoa lakin mi km sisikii wala kuona vile....
Wanaona umri unaenda bora watumie mbinu za uwanja wa geshi nitafutiwe mke nioe nitake nisitake au kama nna tatizo niseme walitaftie ufumbuzi.
Hahaha sijui wanahis mi sidisi.
Juzi nikaambiwa twende tutoke mara moja baba na mama hao tukajitupia kwenye ndinga...
Njiiiiim njiiiim tukiwa njiani ndo naambiwa bwana mkubwa unajua tunaenda wapi??!!sijui nyie mniambie maana mmenibeba tuu!
Ahaaa mwanangu tunaenda sehem umuone mchumba km atakufaa tuendelee na michakato mingine!!
tunafunga breki mbele ya nyumba ya kina yule dem wng!kidogo niruke nakpiga moyo konde huku kijasho kidooogo kinatoka.
Wameongea paleee mi nipo kimya mara dem akaitwa wala hata hajashtuka wala kujali zaid ya kujifanya anaona aibu!eti jamani dem aliwe na rafk yko kisha muachane then leo upewe hilo zigo huku wazaz wanashikilia kwmba huyo ndo mchumba mzur tunamtaka na ametulia sana na ni bikra!hahahahaha mi nikawaambia sijampenda tuuu..
Hapa leo sijaenda hata hom kw huo mtiti ambao nitaletewa
Sijaona dem w kupeleka hom wamuone!huwa tunamalizana nao huku huku kitaaa..upeleke dem hom umtambulishe kesho azingue umuache itakuwa kujichoresha tuu